Add a Slideshow to see your custom images here

Ratiba ya Matukio - TUCASA MWECAU

"Kwa maana walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao." (Mathayo 18:20)

Tarehe Tukio Mahali
03 Nov 2025 Kufungua muhula wa masomo Chuoni MWECAU 
07 Nov 2025 Ibada ya ufunguzi wa sabato Kariwa SDA church 
08 Nov 2025 Ibada ya Sabato Kariwa SDA church 
10 Nov 2025 Ibada ya jioni chuoni Msaki ndogo 
11 Nov 2025 Ibada ya jioni chuoni  Msaki ndogo 
12 Nov 2025 Ibada ya maombi ya jumatano  Msaki ndogo 

 Ratiba kamili itaendelea kusasishwa mara kwa mara. Karibu ujumuike nasi!